Mrijo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Mrijo ni jina la kata ya Wilaya ya Chemba katika Mkoa wa Dodoma , Tanzania yenye postikodi namba 41803[1] . Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 13104 [2] waishio humo.

Baadhi ya vijiji vya kata ya Mrijo vyenye shule ya msingi ni Mrijo Juu, Mrijo Chini, Msaada, Nkulari na Songambele. Asilimia kubwa za wakazi wa kata ya Mrijo ni Warangi.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Flag of Tanzania.svg Kata za Wilaya ya Chemba - Mkoa wa Dodoma - Tanzania Flag of Tanzania.svg

Babayu | Chandama | Chemba | Churuku | Dalai | Farkwa | Goima | Gwandi | Jangalo | Kimaha | Kwamtoro | Kidoka | Kinyamsindo | Lahoda | Lalta | Makorongo | Mondo | Mpendo | Mrijo | Msaada | Ovada | Paranga | Sanzawa | Songoro | Soya | Tumbakose