Nenda kwa yaliyomo

Godbless Jonathan Lema

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Godbless Jonathan Lema (amezaliwa 26 Oktoba 1976) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CHADEMA. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Arusha Mjini kwa miaka 2015-2020. [1][2]

Godbless Lema alianza siasa zake mwaka 2005, kipindi hicho akiwa mwanachama wa chama cha TLP.

Baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 alipata hifadhi ya kisiasa kwanza nchini Kenya, halafu Kanada[3].

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania Ilihifadhiwa 25 Januari 2020 kwenye Wayback Machine., iliangaliwa Mei 2017
  2. https://www.ippmedia.com/sw/habari/mbunge-lema-mkewe-waanzisha-historia
  3. York, Geoffrey (Desemba 21, 2020). "Former Tanzanian MP flees to Canada as crackdown deepens". The Globe and Mail. Iliwekwa mnamo Desemba 21, 2020.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Godbless Jonathan Lema kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.