Nenda kwa yaliyomo

Gianluca Ramazzotti

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Gianluca Ramazzotti

Amezaliwa Gianluca Ramazzotti
22 Agosti 1970 (1970-08-22) (umri 54)
Roma, Italia
Kazi yake Mwigizaji, mvaa uhusika, mbunifu wa vibwagizo

Gianluca Ramazzotti (amezaliwa tar. 22 Agosti 1970) ni mwigizaji wa filamu, vipindi vya televisheni, na mtengenzaji wa vibwagizo vya filamu kutoka nchini Italia.

Alihitimu elimu yake ya maigizo katika chuo cha Theater of Calabria, akafuatia na kozi kadhaa katika chuo cha Warsaw Theater, na vilevile mjini Paris katika chuo cha Theatre du Soleil. Alijiunga na Company of the Bagaglino, ambazo kazi zake nyingi zilikuwa zikiongozwa na Pier Francesco Pingitore. Akiwa huko alipata kushiriki katika vipindi vya televisheni na filamu zilizokuwa zinatayarishwa na kampuni hiyo.

Mbali na uzoefu wake wa kushiriki katika Bagaglino, pia alipata kucheza katika mfululizo wa Vivere na Un posto al sole, na pia alishiriki katika mfululizo wa tamthilia ya Il Papa Buono, ya Ricky Tognazzi.

Pia anafanya kazi kama mtangazaji wa redio na mtengenezaji wa vibwagizoref[1].

Akiwa kama mwigizaji, alipata kucheza jina la Bojetto katika muziki wa vichekesho wa Rugantino.

Gianluca Ramazzotti, anazungumza lugha ya Kifaransa, Kiingereza, na Kihispania kwa ufasaha kabisa.

Maigizo shirikishi

[hariri | hariri chanzo]
  • I Promessi Sposi un musical
  • Intrichi d’amore
  • La scuola delle mogli
  • Soldati a Inglostadt
  • Ifigenia in Aulide
  • A qualcuno piace caldo
  • La notte
  • Il gatto che scoprì l’America
  • La farina del diavolo
  • Scanzonatissimo Gran Casinò
  • Babbo Natale è uno Stronzo…
  • Dark! Tornerò prima di mezzanotte
  • Il Vantone
  • Lei
  • I tre processi
  • E Ballando Ballando
  • Il Decamerone
  • Il re muore
  • Rugantino
  • Se devi dire una bugia dilla grossa
  • Cyrano
  • Boeing-Boeing
  • Romolo & Remolo
  • La Donna in nero
  • Destinatario Sconosciuto
  • Il giro del mondo in 80 risate
  • Sempre meglio che lavorare (one man Show)
  • Il Mago di Oz
  • Un pezzo di pazzo
  • Prime donne alle primarie
  • Uomini all’80%
  • Va tutto storto!
  • E io pago!
  • Complici
  • Gabbia di matti
  • Destinatario sconosciuto (also director)
  • Va tutto storto

Televisheni

[hariri | hariri chanzo]
  • Vivere
  • Un posto al sole
  • Anni 60
  • Distretto di polizia
  • Giornalisti
  • La squadra
  • Tequila e Bonetti
  • Il Papa buono
  • Miconsenta
  • Con le unghie e con i denti
  • Barbecue
  • Passaparola
  • Domani è un'altra truffa
  • Torte in faccia
  • Punto e a capo (guest)
  • E io pago!
  • Edizione Straordinaria (satirical TV news, Demo Mura)
  • Seven Show 2007
  • Vita da paparazzo
  • Gabbia di Matti

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]