Gadiel Michael

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Gadiel Michael Mbaga (amezaliwa tarehe 12 Juni 1996 katika jiji la Dar es Salaam) ni mchezaji wa kandanda ambaye anacheza nafasi ya beki wa kushoto katika timu maarufu katika nchi ya Tanzania ambayo ni Simba S.C..

Gardiel Michael aliwahi kuchezea Yanga msimu wa 2018/2019 akitokea Azam FC ambayo yenyewe ilimkuza kupitia Akademia yao iliyoibua nyota mbalimbali


People.svg Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gadiel Michael kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.