Frank George Mwakajoka
Mandhari
Frank George Mwakajoka ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CHADEMA. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Tunduma kwa miaka mitano (2015 – 2020). Alipata elimu yake ya msingi katika shule ya msingi Milanzi kuanzia mwaka 1981-1988. [1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-01-26. Iliwekwa mnamo 2020-01-26.
| Makala hii kuhusu kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Frank George Mwakajoka kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |