Fistula

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Fistula ni ugonjwa unaowasumbua akina mama wajawazito pindi wanapokaribia kujifungua. Ugonjwa huu hufahamika kama ugonjwa ambao muathirika huwa anatokwa na haja ndogo mara kwa mara bila kutegemea.

kuna fistula=ushikanaji wa viungo mbalimbali ,baina ya tumbo na ini, ama baina ya matumbo

Ugonjwa huu unaathiri wanawake wengi na wazee sana barani Afrika.


Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Taasisi ya Fistula

Morpho didius Male Dos MHNT.jpg Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Fistula kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.