Msamba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Musuli za msamba wa kike
Musuli za msamba wa kiume

Msamba (lat.-ing. Perineum) ni sehemu ya mwili wa kibinadamu kati ya uke na mkundu upande wa mwanamke au scrotum na mkundu upande wa mwanaume. Urefu wake kwa mtu mzima ni takiban inchi 1.

Ndani ya eneo la msamba kuna musuli a pekee zenye shughuli mbalimbali kwa ajili ya ngono na utoaji wa mkojo na kinyesi.