Nenda kwa yaliyomo

Filothea wa Athene

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Dirisha la jumba la akina Benizelos.
Patakatifu pa Mtakatifu Filothea.

Filothea wa Athene (pia: Philotheia au Philothea; kwa Kigiriki: Άγια Φιλοθέη η Αθηναία; jina la kuzaliwa: Ρεβούλα Μπενιζέλου, Revoula Benizelos; 21 Novemba 1522 - 19 Februari 1589) alikuwa mtawa, mfiadini, na mtakatifu wa Kanisa la Kiorthodoksi la Kigiriki kutoka Ugiriki ya enzi za Milki ya Osmani.[1]

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.