Nenda kwa yaliyomo

Fausto, Abibi na wenzao

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Fausto na Makari)

Fausto, Abibi na wenzao Andrea, Androniko, Andropelagia, Kaldote, Makari, Sarpando, Siriaki, Siriaki mwingine, Thekla na Theosisti (walifariki 250 hivi) ni kati ya Wakristo wa Misri waliouawa kwa ajili ya imani yao wakati wa dhuluma ya kaisari Decius.

Fausto alikuwa padri na Abibi shemasi.

Kwa kuwa hayajulikani mengine kuhusu historia yao, hawaorodheshwi tena na Martyrologium Romanum.

Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 6 Septemba[1][2][3].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  • Holweck, F. G. A Biographical Dictionary of the Saints. St. Louis, MO: B. Herder Book Co. 1924.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.