Fati Abubakar

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Fati Abubakar ni mpiga picha mwandishi wa nchini Nigeria, pia ni mpiga picha wa maandishi juu ya Maisha ya watu.

Kazi na Maisha[hariri | hariri chanzo]

Abubakar alizaliwa na kukulia Maiduguri, Nigeria.[1][2]

Kazi zake zimekua zikichapishwa kwnye gazeti la nchini Marekani la The New York Times, kituo cha televisheni cha CNN Afrika, BBC na Voice of America.[3] Anafanya kazi kuu ya kuandika kuhusu uchungu na changamoto za mji wa Borno, akijumuisha na kikundi cha waasi cha [[Boko Haram. Ana mradi unaofahamika kwa jina la Bits of Borno.[3][4][5]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Fati Abubakar". africasacountry.com. Iliwekwa mnamo 20 April 2019.  Check date values in: |accessdate= (help)
  2. "'She has been our family's lifeline'". Nursing Standard 31 (9): 65. 26 October 2016. ISSN 0029-6570. PMID 27787168. doi:10.7748/ns.31.9.65.s48.  Check date values in: |date= (help)
  3. 3.0 3.1 "LagosPhoto | International art festival of photography in Nigeria". LagosPhoto. Iliwekwa mnamo 20 April 2019.  Check date values in: |accessdate= (help)
  4. "About". Bits of Borno. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-11-11. Iliwekwa mnamo 20 April 2019.  More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); Check date values in: |accessdate= (help)
  5. "Women in war zones: Shooting the frontline when you're not a middle class man". Huck Magazine. 19 October 2018. Iliwekwa mnamo 20 April 2019.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Fati Abubakar kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.