Ewe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

WaEwe (Éwé) ni kabila kubwa la Togo na Ghana ya kusini. Lugha yao ni kiEwe (Eʋegbe). (Jina la lugha imeandikwa au kuitwa pia: Eibe, Ebwe, Eve, Efe, Eue, Vhe, Gbe, Krepi, Krepe, au Popo.)

Kwa jumla kuna takriban wasemaji 3,300,000. Kati yao wako 2,250,000 Ghana (2003) na 860,000 in Togo (1991). Lugha yao hufundishwa katika shule za msingi, Ghana hata katika shule za sekondari. Katika Togo ni lugha ya kitaifa na lugha ya kwanza ya mawasiliano ya Togo Kusini.

WaEwe wanasemekana wametoka katika Nigeria. Utaratibu wa kijamii hufuata baba.


Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

en: Ethnologue juu ya Ewe