Kiewe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiewe ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Ghana na Togo inayozungumzwa na Waewe. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kiewe nchini Ghana imehesabiwa kuwa watu 2,250,000. Pia kuna wasemaji 862,000 nchini Togo. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiewe iko katika kundi la Kikwa.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiewe kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.