Ewa Pajor

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ewa Pajo

Ewa Pajor (alizaliwa 3 Desemba 1996) ni mchezaji wa mpira wa miguu ambae anacheza kama mshambuliaji katika klabu ya wanawake ya VfL Wolfsburg. Ni mchezaji mdogo zaidi kwa ambae alicheza katika ligi Ekstraliga nchini Polandi akiwa na umri wa miaka 15 alipokea tuzo ya UEFA ya Golden kwa mchezaji bora mwenye umri chini ya miaka 17 barani Ulaya.[1]

Mnamo Juni 2015 Pajor alijiunga na VfL Wolfsburg kwa mkataba wa miaka miwili. Mnamo Aprili 2020, Pajor alisaini mkataba zaidi na Wolfsburg hadi 2023.[2]


Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. VAVEL.com (2020-04-24). "Ewa Pajor extends VfL Wolfsburg contract until 2023". VAVEL (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-04-24. 
  2. "Ewa Pajor wechselt nach Wolfsburg" (kwa Kijerumani). VfL Wolfsburg. 25 June 2015. Iliwekwa mnamo 26 June 2015.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ewa Pajor kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.