VfL Wolfsburg
Jump to navigation
Jump to search
VfL Wolfsburg ni klabu inayoshiriki katika ligi ya Ujerumani Bundesliga ilichukuwa ubingwa mwaka 2008/2009, na ndio mara ya kwanza kuchukuwa ubingwa wa ligi hiyo tangu kuundwa kwake.
Wachezaji mashuhuri wanaoichezea klabu hiyo.
- Grafite Brazil
- Makoto Hasebe Japan
- Diego BenaglioUswisi
- Obafemi Martins Nigeria
- Karim ZianiAlgeria
- Andrea Barzagli Itali
- Edin Džeko Bosnia na Herzegovina
- Josué Brazil
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu VfL Wolfsburg kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |