Nenda kwa yaliyomo

Eunice Dana Brannan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Eunice Dana Brannan mnamo mwaka 1915

Eunice Dana Brannan (1854 - 1937) alikuwa mwanaharakati wa haki za wanawake na mtu mashuhuri katika masuala ya watu wasio na uwezo katika jiji la New York.

Alichukua jukumu muhimu katika kuandaa kashfa katika Ikulu ya White House kupinga kukataa kwa raisi Woodrow Wilson kuunga mkono upigaji kura wa wanawake..[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Eunice Dana Brannan - Turning Point Suffragist Memorial" (kwa American English). 2014-06-18. Iliwekwa mnamo 2021-02-03.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Eunice Dana Brannan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.