Eric Bailly

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Eric Bailly

Eric Bertrand Bailly (matamshi ya Kifaransa: [eʁik bɛʁ.tʁɑ baji]; alizaliwa 12 Aprili 1994) ni mchezaji wa soka wa Ivory Coast ambaye anacheza katika klabu ya Uingereza Manchester United FC na timu ya taifa ya Ivory Coast. Hasa ni kiungo wa kati; pia anaweza kucheza kama beki wa kati.

Bailly alianza kazi yake katika klabu ya Hispania ya Espanyol, kabla ya kuhamia Villarreal. Alicheza msimu miwili katika klabu hiyo na baadaye mwezi Juni 2016 alisaini na Manchester United.

Alicheza mechi yake ya kimataifa ya Ivory Coast mwaka 2015 na kuwasaidia kushinda Kombe la Mataifa ya Afrika mwaka huo.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Eric Bailly kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.