Nenda kwa yaliyomo

Emmanuel Mbogo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Emmanuel Mbogo (amezaliwa 1 Machi 1947) ni mwandishi nguli wa vitabu vya fasihi kama vile riwaya na tamthilia kutoka nchini Tanzania.

Miongoni mwa tamthilia zake, inayompa umaarufu zaidi ni Morani, pia riwaya ya Watoto wa Maman'tilie ambavyo hutumika sana katika mtaala wa elimu ya Tanzania.

Maandishi

[hariri | hariri chanzo]

Michezo ya kuigiza

[hariri | hariri chanzo]
  • Julius Nyerere kizimbani. Africa Proper Education Network, 2022
  • Mwinyi na manyani ya adili (Toleo la kwanza.). Africa Proper Education Network, 2022
  • Kumng’oa nduli. Africa Proper Education Network, 2022
  • Sadaka ya John Okello : Mapinduzi ya Zanzibar (Chapisho la pili). Africa Proper Education Network, 2019
  • Tanzia ya Patrice Lumumba (Chapisho la Pili). Africa Proper Education Network, 2019
  • Wangari Maathai (Chapisho la pili). APE, Africa Proper Education Network, 2019
  • Mtumwa hadi Siti binti Saad. Africa Proper Education Network, 2018
  • Nyerere na Safari ya Kanaani (toleo la pili 2018). Africa Proper Education Network, 2018
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Emmanuel Mbogo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.