Edward Franz Mwalongo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Edward Franz Mwalongo Amezaliwa 13 Oktoba 1966 ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama Cha Mapinduzi (CCM). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Njombe Mjini kwa miaka 20152020. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017