Nenda kwa yaliyomo

Ederson Moraes

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Golikipa Ederson.

Ederson Santana de Moraes (anajulikana sana kama Ederson, alizaliwa 17 Agosti 1993), ni mchezaji wa soka wa Brazil ambaye anachezea klabu ya Ligi Kuu ya Uingereza Manchester City na timu ya taifa ya Brazil kama golikipa.

Alianza kazi yake huko São Paulo mwaka 2008, kabla ya kujiunga na upande wa Ureno Benfica mwaka mmoja baadae ambako alitumia misimu miwili.

Alijiunga na Benfica mwaka 2015 na alitolewa kwenye kikosi cha kwanza na kuwekwa sabu. Ederson alichukizwa na kitendo hicho.

Baada ya mwisho wa msimu wa 2016-17, Ederson alijiunga na klabu ya Uingereza Manchester City kwa ada £ milioni 35, akiwa golikipa wa gharama kubwa zaidi wakati wote kwa thamani ya jina la pound wakati wa uhamisho wake.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ederson Moraes kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.