Diski Gandamize

CD-R, ya kuhifadhia maelezo muhimu ya tarakilishi.

CD-R, ya kuhifadhia maelezo muhimu ya tarakilishi.
Diski Gandamize (kwa kifupi: DIGA; pia: Diski Songamano[1]; kwa Kiingereza: Compact Disc; kifupi: CD) ni kifaa cha kutunzia data katika utarakilishi, inayotumika hasa kuandika, kutunza au kucheza sauti, video au data nyingine kwenye hali ya kidijiti.
Diski hii ni ya kigae, au/na ya plastiki.
Tanbihi[hariri | hariri chanzo]
- ↑ Diski-Songamano—Hiyo Ni Nini? — Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO. wol.jw.org. Iliwekwa mnamo 2020-11-22.
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- Kiputiputi, O. (2011). Kamusi sanifu ya kompyuta. Taasisi ya Taaluma za Kiswahili, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, K.602.