Dini za Abrahamu


Dini za Abrahamu, ni dini zenye asili katika Mashariki ya Kati ambazo zinashika imani katika Mungu mmoja tu.[1]
Asili
Dini hizo zinamchukua Abrahamu kama kielelezo cha mwamini na rafiki wa Mwenyezi Mungu.[2][3] Dini kuu za jamii hiyo (kadiri ya tarehe ya kutokea) ni: Uyahudi (KK), Ukristo (karne ya 1 BK) na Uislamu (karne ya 7),[4][5][6][7] mbali na nyingine ndogo zaidi zilizotokana nazo, kama Baha'i (karne ya 19).
Uenezi
Inakadiriwa kwamba 54% za watu wote duniani wanafuata mojawapo kati ya dini hizo, zikiwemo: Ukristo (33%), Uislamu (21%) na Uyahudi (0.2%).[8][9]
Tanbihi
- ↑ Spirituality and Psychiatry - Page 236, Chris Cook, Andrew Powell, A. C. P. Sims - 2009
- ↑ Philosophy of Religion. Encyclopædia Britannica (2010). Jalada kutoka ya awali juu ya 21 July 2010. Iliwekwa mnamo 24 June 2010.
- ↑ C.J. Classification of religions: Geographical. Encyclopædia Britannica, 2007. Accessed: 15 May 2013
- ↑ Massignon 1949, pp. 20–23
- ↑ Smith 1998, p. 276
- ↑ Derrida 2002, p. 3
- ↑ * Why "Abrahamic"?. Lubar Institute for Religious Studies at U of Wisconsin. Iliwekwa mnamo 3 March 2012.
- Lawson, Todd (December 13, 2012). Cusack, Carole M.; Hartney, Christopher. eds. "Baha'i Religious History". Journal of Religious History 36 (4): 463–470.
- Collins, William P., reviewer (September 1, 2004). "Review of: The Children of Abraham : Judaism, Christianity, Islam / F. E. Peters. -- New ed. -- Princeton, NJ : Princeton University Press, 2004". Library Journal (New York) 129 (14): 157, 160. http://www.hclib.org/pub/bookspace/discuss/?bib=1061320&theTab=Reviews. Retrieved Sep 13, 2013.
- ↑ The numbers were based on upper bounds and do not add to 100%. Hunter, Preston. Major Religions of the World Ranked by Number of Adherents. Adherents.com. Jalada kutoka ya awali juu ya 2008-06-15. Iliwekwa mnamo 2016-01-09. Archived 22 Aprili 2011 at the Wayback Machine.
- ↑ Worldwide Adherents of All Religions by Six Continental Areas, Mid-2002. Encyclopædia Britannica (2002). Jalada kutoka ya awali juu ya 12 March 2007. Iliwekwa mnamo 15 September 2014.
Viungo vya nje
- Reconciling the Abrahamic Faiths Accessed 21 October 2012
- What's Next? Heaven, hell, and salvation in major world religions A side-by-side comparison. [archive] Accessed 16 September 2014
- Three Faiths, One God Accessed 21 October 2012
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu mada hii kama historia yake au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |