Didier Ovono

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Didier Ovono ni mchezaji wa soka wa klabu ya Paris FC na timu ya taifa ya Gabon.

Didier Janvier Ovono (alizaliwa 23 Januari 1983) ni mchezaji wa soka wa Gabon ambaye anacheza kama kipa wa klabu ya Paris FC na timu ya taifa ya Gabon

Kazi ya klabu[hariri | hariri chanzo]

Mwaka 2008 aliweza kushinda katika Ligi akiwa na klabu ya FC Dinamo Tbilisi.Na tena mnamo 22 Juni 2009, alihamia kutoka katika klabu ya Dinamo Tbilisi kwenda Le Mans UC 72 katika Ligi 1 ambapo alipewa mkataba wa miaka 3 hadi Juni 2012.

Alicheza katika Kombe la Mataifa ya Afrika akiwa na timu ya taifa ya Gabon na aliweza kusaidia katika ushindi wa Gabon dhidi ya Cameroon. Alistaafu katika timu ya taifa Mei 2017.

Football.svg Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Didier Ovono kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.