Didia
Didia ni kata ya Wilaya ya Shinyanga Vijijini katika Mkoa wa Shinyanga, Tanzania yenye msimbo wa posta 37212.
Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi wa kata walihesabiwa kuwa 19,093 [1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 10,666 waishio humo.[2]
Kata ya Didia ina jumla ya vijiji vitano ambavyo ni Bukumbi, Chembeli, Didia, Mwamalulu na Mwanono. Kila kijiji kina shule moja ya msingi. Mbali na shule moja ya msingi kwa kila kijiji, Didia ina shule ya binafsi inayoendeshwa na masista wa shirika la OLA.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Kata za Wilaya ya Shinyanga vjijini - Mkoa wa Shinyanga - Tanzania | ||
---|---|---|
Bukene | Didia | Ilola | Imesela | Iselamagazi | Itwangi | Lyabukande | Lyabusalu | Lyamidati | Masengwa | Mwakitolyo | Mwalukwa | Mwamala | Mwantini | Mwenge | Nsalala | Nyamalogo | Nyida | Pandagichiza | Puni | Salawe | Samuye | Solwa | Tinde | Usanda | Usule |
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Shinyanga bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Didia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno. |