Mwamala (Shinyanga)
Mandhari
Kwa maana nyingine ya jina hili, angalia Mwamala
Mwamala ni kata ya Wilaya ya Shinyanga Vijijini katika Mkoa wa Shinyanga, Tanzania yenye msimbo wa posta 37202.
Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi wa kata walihesabiwa kuwa 12,244 [1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 10,021 waishio humo.[2]
Wakazi ni wakulima wa mazao yafuatayo> uwele, mahindi, karanga, mpunga, njugu mawe. Shida ni maji wakati wa kiangazi.
Marejeo
Kata za Wilaya ya Shinyanga vjijini - Mkoa wa Shinyanga - Tanzania | ||
---|---|---|
Bukene | Didia | Ilola | Imesela | Iselamagazi | Itwangi | Lyabukande | Lyabusalu | Lyamidati | Masengwa | Mwakitolyo | Mwalukwa | Mwamala | Mwantini | Mwenge | Nsalala | Nyamalogo | Nyida | Pandagichiza | Puni | Salawe | Samuye | Solwa | Tinde | Usanda | Usule |
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Shinyanga bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mwamala (Shinyanga) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno. |