Nenda kwa yaliyomo

Diani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Diani ni kata ya kaunti ya Kwale, eneo bunge la Msambweni, nchini Kenya[1].

Historia

[hariri | hariri chanzo]

Kulikuwa mahali pa makazi ya Waswahili wa kale katika pwani ya kusini ya Kenya kwenye Bahari ya Hindi.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]