Dimitri wa Thesalonike

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Demetrio wa Thesalonike)
Jump to navigation Jump to search

Dimitri wa Thesalonike (kwa Kigiriki Άγιος Δημήτριος της Θεσσαλονίκης) alikuwa Mkristo wa Sirmium (leo nchini Serbia) ambaye mwanzoni mwa karne ya 4 alifia dini yake katika dhuluma ya Kaisari Dioklesyano.

Kwa sababu hiyo tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa katika tarehe mbalimbali; kwa Wakatoliki ni tarehe 9 Aprili.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Dimitri wa Thesalonike kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.