David Chipman
Mandhari
David Howland Chipman (aliyezaliwa 1966) ni wakala wa zamani wa ATF wa Marekani na wakili wa udhibiti wa bunduki ambaye hivi majuzi ndiye aliyeteuliwa kuhudumu kama mkurugenzi wa Ofisi ya Pombe, Tumbaku, Silaha za Moto na Vilipuzi katika utawala wa Biden hata hivyo uteuzi huu uliondolewa
Maisha ya awali na elimu
[hariri | hariri chanzo]Chipman alizaliwa Hanover, New Hampshire na kukulia katika Kaunti ya Oakland, Michigan. Baada ya kuhitimu kutoka Phillips Exeter Academy, alipata Shahada ya Kwanza ya Sayansi katika haki kutoka Chuo Kikuu cha Marekani na Shahada ya Uzamili ya Sayansi katika usimamizi kutoka Chuo Kikuu cha Johns Hopkins.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu David Chipman kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |