Hanover, Massachusetts

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ukumbi wa Hanover


Hanover
Hanover is located in Marekani
Hanover
Hanover

Mahali pa mji wa Hanover katika Marekani

Majiranukta: 42°06′00″N 70°48′00″W / 42.10000°N 70.80000°W / 42.10000; -70.80000
Nchi Marekani
Jimbo Massachusetts
Wilaya Plymouth
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 13,164
Tovuti:  http://www.hanover-ma.gov/
Mahali pa Hanover katika Plymouth County na Massachusetts

Hanover ni mji wa Marekani katika jimbo la Massachusetts. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2000, mji una wakazi wapatao 13,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 18 kutoka juu ya usawa wa bahari. Eneo lake ni 41 km².

Jina la Hanover lilichaguliwa wakati wa kuanzisha mji huu mwaka 1727 kwa heshima ya mfalme George I wa Uingereza aliyetoka katika familia ya watemi wa Hannover katika Ujerumani; Hannover ilikuwa mji mkuu wa utemi mwenye jina lake.

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Massachusetts bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Hanover, Massachusetts kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.