Silaha za moto

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Moto unaonekana mbele ya mdomo wa bastola wakati wa kufyatua risasi.
Moto kutoka mdomo wa mzinga wa kifaru ni mkubwa.

Silaha za moto ni vifaa vinavyorusha risasi dhidi ya shabaha kupitia kasiba yake kwa nguvu ya gesi inayopanuka kutokana na kuchomeka ghafla kwa baruti ndani ya silaha yenyewe.

Kutokana na mlipuko wa baruti ndani ya silaha moto huonekana mdomoni mwa silaha kila safari risasi imefyatuliwa.

Kati ya silaha za moto kuna kwa mfano:

Kuna pia silaha zinazorusha risasi kupitia kasiba ambazo si silaha za moto, kwa mfano bunduki ya hewa.

Wataalamu hufanyia utafiti silaha mpya zinazorusha risasi kwa kutumia nguvu ya sumakuumeme.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu: