Daphne Valerius

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Daphne Valerius
Amezaliwa
Brooklyn, New York
Nchi Marekani
Kazi yake Msanii na muandaaji wa filamu

Daphne Valerius ni msanii wa filamu alizaliwa katika mji wa Brooklyn, New York na kukulia kisiwa cha Rhode Island.

Anajulikana zaidi kwa kutengeneza filamu The Souls of Black Girls mnamo mwaka 2007. Valerius pia ni mhusika katika kuzalisha baadhi ya vipindi katika kituo cha ABC, FOX na BET.[1]

Elimu[hariri | hariri chanzo]

Valerius alisoma chuo kikuu cha St. John's University huko New York City na kupata stashahada ya masuala ya mawasiliano mwaka 2003. Akiwa bado mwanafunzi, alianza kupata uzoefu wake wa kwanza kwa kutengeneza na kuongoza uandaji wa picha za mitandao. Valerius alifanya utafiti wake wa kwanza kuhusu kujithamini na kujiamini.[2][3]

Valerius aliendelea na utafiti huo akiwa anasomea shahada ya uzamili katika masuala ya utangazaji na uandishi wa habari kutoka Emerson College, na kumaliza mnamo mwaka 2006.[2]Kutokana na kazi zake, alipokea tuzo ya Associated Press ya Maswala ya Umma.[4]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Daphne Valerius". DaphneValerius.com. Iliwekwa mnamo 25 Feb 2017. 
  2. 2.0 2.1 "Producer DaphneMakala hii kuhusu mambo ya michezo bad Valerius to present documentary, The Souls of Black Girls, Feb. 27". Kingston: University of Rhode Island. 16 Feb 2008. Iliwekwa mnamo 25 Feb 2017. 
  3. "The Souls of Black Girls". SoulsofBlackGirls.com. Iliwekwa mnamo 25 Feb 2017. 
  4. Aspire TV. "Daphne Valerius". aspire.tv. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 26 February 2017. Iliwekwa mnamo 25 Feb 2017.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help); More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); Check date values in: |archivedate= (help)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Daphne Valerius kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.