Dany Engobo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Dany Engobo, ni mwanamuziki nchini Kongo na kiongozi wa Les Coeurs Brises . Alianza kazi yake ya muziki huko Brazzaville. Alifanya kazi pamoja na gwiji wa gitaa Diblo Dibala katika nyimbo zake nyingi.

Alihamia Paris mnamo 1976 na kujifunza Kifaransa huko. Kuanzia hapo alianza kuimba nyimbo zake kwa lugha hiyo. Kwa madhumuni au malengo ya kimataifa, nyimbo zake mara nyingi hufanywa katika Lugha ya Lingala na Kifaransa.Pia ni mmoja wa watu matajiri.

Anajulikana sana katika muziki wake wa densi ambapo huchagua malkia wa densi wazuri wa kucheza ambao huchaguliwa kutoka idadi ya nchi tofauti. [1] [2] [3] [4]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "BODY:". Geneseo.edu. 2002-10-21. Iliwekwa mnamo 2012-06-25. 
  2. the-real-africa. "Music Videos of DR Congo - Clips Congolais". Musicvideos.the-real-africa.com. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-02-16. Iliwekwa mnamo 2012-06-25. 
  3. "Blog Music de danyengobomusic - Dany ENGOBO - Skyrock.com". Danyengobomusic.skyrock.com. 2007-09-22. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-02-16. Iliwekwa mnamo 2012-06-25. 
  4. "Jamie Bennett's Simple Site". Geneseo.edu. Iliwekwa mnamo 2012-06-25. 
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Dany Engobo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.