Christos Frantzeskakis

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Christos Frantzeskakis (alizaliwa mnamo 26 Aprili 2000) ni mwanariadha wa Ugiriki anayejihusisha na kurusha nyundo. Alishiriki mashindano ya wanaume warusha nyundo katika Olimpiki ya majira ya joto ya mwaka 2020 yaliyo fanyika Tokyo, Japan.

Mnamo mwaka 2019, alishinda medali ya dhahabu katika upande wa wanaume katika mashindano ya riadha ya Balkan yaliyo fanyika huko Pravets, Bulgaria. Katika mwaka huo huo alishiriki katika michuano ya dunia ya riadha kwa ipande wa wanaume mwaka 2019 yaliyo fanyika huko Doha, Qatar. Hakubahatika kufika fainali.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Christos Frantzeskakis kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.