Chokowe
Mandhari
Chokowe | ||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||
|
Chokowe ni ndege wadogo wa jenasi mbalimbali katika familia ya Scolopacidae. Nje ya majiri ya kuzaa huonekana hasa karibu na maji (bahari, maziwa, mito) lakini spishi chache huonekana mbali na maji (k.m. Tryngites subruficollis). Takriban spishi zote hutaga mayai chini tundrani kwa kanda za akitiki za Ulaya, Asia na Amerika. Hula wadudu, gegereka na nyungunyungu.
Spishi za Afrika
[hariri | hariri chanzo]- Calidris alba, Chokowe Tumbo-jeupe (Sanderling)
- Calidris alpina, Chokowe Tumbo-jeusi (Dunlin)
- Calidris canutus, Chokowe Mwekundu (Red Knot)
- Calidris falcinellus, Chokowe Domo-pana ( Broad-billed Sandpiper) – inaainishwa pia kama Limicola falcinellus
- Calidris ferruginea, Chokowe Domo-sululu (Curlew Sandpiper)
- Calidris maritima, Chokowe Zambarau (Purple Sandpiper)
- Calidris minuta, Chokowe Mdogo ( Little Stint)
- Calidris subminuta, Chokowe Vidole-virefu (Long-toed Stint)
- Calidris temminckii, Chokowe Mkia-mweupe (Temminck’s Stint)
- Micropalama himantopus, Chokowe Miguu-myekundu (Stilt Sandpiper) – inaainishwa pia kama Calidris himantopus
- Philomachus pugnax, Chokowe Mjasiri (Ruff)
Spishi za mabara mengine
[hariri | hariri chanzo]- Aechmorhynchus cancellatus (Kiritimati Sandpiper) imekwisha sasa
- Aechmorhynchus parvirostris (Tuamotu Sandpiper)
- Calidris bairdii (Baird’s Sandpiper)
- Calidris fuscicollis (White-rumped Sandpiper)
- Calidris mauri (Western Sandpiper)
- Calidris melanotos (Pectoral Sandpiper)
- Calidris minutilla (Least Sandpiper)
- Calidris x paramelanotos (Cox's Sandpiper) – chotara kati ya dume wa C. melanotos na jike wa C. ferruginea
- Calidris ptilocnemis (Rock Sandpiper)
- Calidris pusilla (Semipalmated Sandpiper)
- Calidris ruficollis (Red-necked Stint)
- Calidris tenuirostris (Great Knot)
- Calidris virgata (Surfbird) – inaainishwa pia kama Aphriza virgata
- Eurynorhynchus pygmeus (Spoon-billed Sandpiper) – inaainishwa pia kama Calidris pygmeus
- Philomachus acuminatus (Sharp-tailed Sandpiper) – inaainishwa pia kama Calidris acuminata
- Prosobonia ellisi (Moorea Sandpiper) imekwisha sasa
- Prosobonia leucoptera (Tahiti Sandpiper) imekwisha sasa
- Tryngites subruficollis (Buff-breasted Sandpiper)
Picha
[hariri | hariri chanzo]-
Chokowe tumbo-jeupe
-
Chokowe tumbo-jeusi
-
Chokowe wekundu, manyoya ya majira ya kuhama
-
Chokowe domo-sululu
-
Chokowe zambarau
-
Chokowe mdogo
-
Chokowe vidole-virefu
-
Chokowe mkia-mweupe
-
Chokowe domo-pana
-
Chokowe mjasiri, manyoya ya majira ya kuhama
-
Chokowe mjasiri, manyoya ya majira ya kuzaa
-
Baird’s sandpiper
-
White-rumped sandpiper
-
Western sandpiper
-
Pectoral sandpiper
-
Least sandpiper
-
Rock sandpiper
-
Semipalmated sandpiper
-
Red-necked stint
-
Great knot
-
Surfbird
-
Sharp-tailed sandpiper