Nenda kwa yaliyomo

Chijioke Akuneto

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Chijioke Akuneto (alizaliwa 10 Oktoba, 1997) ni mwanasoka wa Nigeria anayechezea klabu ya Rivers United F.C. katika Ligi ya Soka ya Nigeria Professionalle. Chijioke Alikuwa mfungaji bora wa ligi msimu wa 2021-22.

Akuneto alichezea klabu ya MFM F.C yenye makao yake Lagos. katika Ligi ya Soka ya Nigeria Professionalle mnamo 2019 na alifunga mabao manne katika michezo yake kumi na tatu ya kwanza.[1]

Ushiriki Kimataifa

[hariri | hariri chanzo]

Mnamo Julai 2022 aliitwa katika kikosi cha Nigeria kwa mechi za kufuzu kwa Ubingwa wa Mataifa ya Afrika 2022 dhidi ya Ghana zilizochezwa Agosti na Septemba 2022. [2][3]

Maisha Binafsi

[hariri | hariri chanzo]

Akuneto alijitolea bao alilofunga tarehe 1 Aprili, 2019 akiwa na klabu ya MFM F.C. kwa mtoto wao mchanga yeye na mkewe Temitope ambaye alifariki saa 24 zilizopita. Alisema alikuwa amecheza mechi hiyo kwa matakwa ya mke wake tu.[4]

Rivers United

  • Ligi ya Soka ya Nigeria Professionalle: 2021-2022.
  • NPFL Eunisell tuzo ya kiatu cha dhahabu: 2021-2022.
  1. "MFM midfielder Chijioke Akuneto reveals goal target after scoring against Enyimba". goal.com.
  2. "CHAN: Ezenwa blames NFF for Super Eagles qualifying failure". brilla.net.
  3. "Nigeria 2-0 Ghana (2-2 agg, 4-5 pen): Black Galaxies qualify for 2023 African Nations Championship". Goal.com.
  4. "I dedicate my goal to my late child - Akuneto Chijioke". brilla.net.

Viungo Vya Nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chijioke Akuneto kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.