Chadli Bendjedid

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
raisi wa tatu wa algeria

Chadli Bendjedid (amezaliwa 14 Aprili 1929) alikuwa Rais wa nchi ya Algeria kuanzia 9 Februari 1979 hadi 11 Januari 1992. Alifuatwa na Mohamed Boudiaf.

Crystal personal.svg Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chadli Bendjedid kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.