Mohamed Boudiaf

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mohammad Boudiaf

Mohamed Boudiaf (23 Juni 1919 - 29 Juni 1992) alikuwa Rais wa nchi ya Algeria kuanzia 11 Januari 1992, hadi siku ya kifo chake alipouawa. Alifuatwa na Ali Kafi.

Crystal personal.svg Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mohamed Boudiaf kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.