Carles Aleñá

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Carles Aleñá

Carles Aleñá Castillo (alizaliwa Mataró, Catalonia, 5 Januari 1998) ni mchezaji wa soka wa Hispania ambaye anacheza kama kiungo wa kati wa Barcelona F.C..

Aleña alianza katika mfumo wa vijana wa FC Barcelona, La Masia, mwaka wa 2005 akiwa na umri wa miaka 7, baada ya majaribio alifanikiwa.

Football.svg Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Carles Aleñá kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.