Bungu
Mandhari
Kata kadhaa za Tanzania huitwa Bungu, lakini bungu pia ni aina za nyuki au viwavi ambao hutoboa ubao au mabua na mwishone spishi ya koambili au kombejozi inayetoboa ubao wa mashua au nguzo katika bahari:
- Bungu (Morogoro)
- Bungu (Rufiji)
- Bungu (Tanga)
- Bungu (kiwavi)
- Bungu wakubwa au nyuki-bungu wakubwa
- Bungu wadogo au nyuki-bungu wadogo
- Bungu-bahari