Buganivilia
Mandhari
Buganivilia | ||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Bougainvillea spectabilis
| ||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||
|
Buganivilia ni jenasi ya mimea inayotoa maua yenye asili yake katika Bara la Amerika ya Kusini kuanzia Brazili na kusonga magharibi kuelekea Peru na kusini hadi Argentina kusini (Mkoa wa Chubut). Mimea hii ina maua meupe madogo. Sehemu za mimea zenye rangi kali si maua ya kweli lakini aina ya majani maalum yanayoitwa braktea. Yanahami maua.
Waandishi tofauti wanakubali kuwa kuna kati ya spishi 4 na 18 katika jenasi hii. Mimea hii iligunduliwa nchini Brazili mnamo mwaka wa 1768 na Philibert Commerçon, msomi wa mimea kutoka nchi ya Ufaransa alipokuwa akimwandama mkuu wa Jeshi la Wanamaji la Kifaransa na mpelelezi Louis Antoine de Bougainville wakati wa safari yake ya kuizunguka dunia.
Picha
[hariri | hariri chanzo]-
Braktea nyekundu za buganivilia nchini Malaysia
-
Bougainvillea spectabilis
-
Braktea za buganivilia za rangi ya bluu iliyochanganywa na samawati
-
Braktea za buganivilia za rangi ya manjano
-
Mjini Tel Aviv, Uisraeli
-
Buganivilia katika barabara kuu ya mji wa California
-
Buganivilia mjini Taormina
-
Rangi tatu za buganivilia mjini Los Angleles
-
Buganivilia katika eneo la Kolkata India
-
Katika Veracruz, Mexico.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Germplasm Resources Information Network: Bougainvillea Archived 20 Januari 2009 at the Wayback Machine.
- Tropicals and Exotics: Bougainvillea in Open Directory Project Archived 5 Februari 2010 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Buganivilia kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |