Biashara ya misafara

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Biashara ya misafara ni aina ya biashara ambako bidhaa husafirishwa kwa njia ya msafara.

Kwa vipindi virefu vya historia bishara ya misafara ilikuwa njia kuu ya biashara kwenye nchi kavu. Biashara ilitegemea misafara kama usalama njiani ulikosekana. Hivyo wafanyabiashara walilazimishwa kuungana na kusafiri pamoja na kupeana ulinzi. Walitumia ngamia, watumwa na kadhalika katika kuendeleza biashara ya misafara.

Njia muhimu ya misafara zilipatikana katika bara zote kwa mfano:

ThreeCoins.svg Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Biashara ya misafara kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.