Bertina Lopes

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Bertina Lopes (11 Julai, 1924 - 10 Februari, 2012)[1] alikuwa mchoraji na mchongaji wa sanamu mwenye asili ya Ureno aliyezaliwa Msumbiji.

Kazi ya Lopes ilionyesha kutilia msisitizo wa kina wa Kiafrika katika kutumia rangi na kutengeneza kazi zenye muundo wa barakoa na jiometri.[2] Lopes amefahamika kwa kuangazia 'ukosoaji wa kijamii na bidii ya kitaifa iliyoathiri wasanii wengine wa Msumbiji wa wakati wake'.[1]

Maisha binafsi[hariri | hariri chanzo]

Lopes alizaliwa Maputo (mwanzo alifahamika kama Lourenço Marques), Msumbiji, mnamo 11 Julai, 1924 kwa mama wa Kiafrika na kwa baba wa Kireno ambaye alikua mkulima. Alisoma katika mji wa Maputo lakini baadae alihamishiwa katika mji wa Lisbon kumalizia masomo yake ya sekondari.

Alisomea kuhusu uchoraji pamoja na Lino António na Celestino Alves na alipata shahada ya uchoraji na uchongaji sanamu.[1] Kwa kipindi hicho alikutana na wasanii engine kama Marcelino Vespeira, Carlos Botelho, Albertina Mantua, Costa Pinheiro, Júlio Pomar na Nuno Sampayo.[1]

Tuzo[hariri | hariri chanzo]

1950 – Tuzo ya uchiraji ya Painting Prize[1]

1953 – Tuzo ya Medalha de Prata

1953 – Tuzo ya Prémio Empresa Moderna

1958 – Tuzo ya First Classified

1974 – Trullo D’Oro, Fasano di Puglia, Brindisi

1974 – Tuzo ya La Mamma nell’arte, , Rome

1975 – Tuzo ya International Painting Prize 1978 – Tuzo ya Leader d’arte, Rome

1986 – Tuzo ya Venere d’Argento, Trapani

1988 – Tuzo ya Grand Prix d’Honnoeur, Rome

1991 – Tuzo ya Rachel Carson Memorial Foundation World Prize, Rome

1992 – Tuzo ya La Plejade per l’Arte, Rome

1993 – Tuzo ya Commander for Merits, Lisbon

1994 – Tuzo ya Centro Francescano Internazionale di Studi per il dialogo fra i popoli (Franciscan International Study Center to promote dialogue among people), Assisi

1995 – Tuzo ya Gabriele D’Annunzio Prize, Pescara

1996 – Tuzo ya Messaggero della Pace UNIPAX Prize, Rome

1998 – Tuzo ya Premio Internazionale Arte e Solidarietà nell’Arca, Florence

1998 – Tuzo ya Frà Angelico International Prize, Rome

2002 – Tuzo ya Silver Plaque by the President of the Republic of Italy, Rome


Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. 1.0 1.1 1.2 1.3 1.4 :: Archivio Bertina Lopes ::. Iliwekwa mnamo 22 September 2017.
  2. Stanley, Janet L.. Monographs on African Artists.
People.svg Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bertina Lopes kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.