Uchongaji
Mandhari
(Elekezwa kutoka Mchongaji)
Uchongaji ni aina mojawapo ya sanaa ambayo inatengeneza umbo la kupendeza kutokana na vitu rafu, kama vile mawe au mbao.
Sanaa hiyo ni ya zamani sana, lakini inazidi kuona njia mpya.
Uchongaji umekuwa wa msingi kwa tamaduni nyingi. Katika karne zilizopita sanamu kubwa za bei ghali ziliundwa kwa ajili ya watu binafsi, kwa kawaida zilikuwa mahususi kwa maonyesho ya dini au siasa.
Tamaduni hizo, ambazo sanamu zake zimesalia kwa wingi, ni pamoja na tamaduni za kale za Mediterania, India na Uchina, na pia nyingi za Amerika ya Kati na Kusini na Afrika.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Essays on sculpture Ilihifadhiwa 30 Oktoba 2007 kwenye Wayback Machine. from Sweet Briar College, Department of Art History
- International Sculpture Center
- Stone Carvers Guild of America official website
- Sculpture artists Ilihifadhiwa 20 Agosti 2010 kwenye Wayback Machine. listings from the-artists.org
- Escultores.com Ilihifadhiwa 4 Julai 2006 kwenye Wayback Machine. Videos and pictures of sculpture
- Corning Museum of Glass
- Weird, Wonderful Modern Sculptures - slideshow by Life magazine
- Cass Sculpture Foundation Ilihifadhiwa 31 Agosti 2009 kwenye Wayback Machine. charity dedicated to commissioning monumental sculpture
- Most Expensive Sculpture In The World Ilihifadhiwa 3 Machi 2012 kwenye Wayback Machine.
- Uchongaji wa Kiitalia
- Tanzania: Tracing Origin of Modern Makonde Sculpture
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |