Nenda kwa yaliyomo

Bendera ya Slovenia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Bendera ya Slovenia tangu Juni 1991
Bendera ya Jamhuri ya Kisoshialisti ya Slovenia ndani ya Yugoslavia ya zamani hadi 1991

Bendera ya Slovenia ina milia mitatu ya kulala katika rangi za Umoja wa Waslavi nyeupe-buluu-nyekundu pamoja na ngao ya nembo la kitaifa juu ya milia miwili ya juu. Bendera hili lilianzishwa tangu Juni 1991.

Kuna pendekezo la kuwa na bendera jipya kwa sababu bendera jinsi ilivyo inafanana sana mabendera mengine yenye rangi za Waslavi hasa bendera ya Slovakia.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]