Bendera ya Ukraine
Jump to navigation
Jump to search
Bendera ya Ukraine ni ya milia miwili - bluu na njano. Bendera iliundwa mnamo 1848.
Bendera za kufanana[hariri | hariri chanzo]
Bendera kama hiyo inatumika katika Austria ya Сhini.