Nenda kwa yaliyomo

Beano wa Mortlach

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Beano wa Mortlach (pia: Beóán, Beoanus, Beanus, Beyn[1]; karne ya 10 - karne ya 11) alikuwa askofu wa kwanza wa Mortlach[2][3] huko Uskoti [4].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu, akichanganywa pengine na mkaapweke Beano wa Ireland.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 26 Oktoba[5].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. William J. Watson, The Celtic Place-Names of Scotland, (Edinburgh, 1926) reprinted, with an Introduction, full Watson bibliography and corrigenda by Simon Taylor (Edinburgh, 2004), p. 311.
  2. Cosmo Innes, Registrum episcopatus Aberdonensis : ecclesie Cathedralis Aberdonensis regesta que extant in unum collecta, (Spalding and Maitland Clubs, 1845), vol. ii. p. 125
  3. Bower, Scotichronicon, IV. 44; text & translation, John Macqueen, Winifred MacQueen, & D.E.R. Watt, (eds.), Scottichronicon by Walter Bower in Latin and English, Vol. 2, (Aberdeen, 1989), pp. 404–5.
  4. http://www.santiebeati.it/dettaglio/75390
  5. Martyrologium Romanum
  • Innes, Cosmo, Registrum episcopatus Aberdonensis : ecclesie Cathedralis Aberdonensis regesta que extant in unum collecta, 2 Vols, (Spalding and Maitland Clubs, 1845), Vol. II
  • Lawrie, Sir Archibald, Early Scottish Charters Prior to A.D. 1153, (Glasgow, 1905)
  • MacQueen, John, MacQueen, Winifred & Watt, D.E.R. (eds.), Scottichronicon by Walter Bower in Latin and English, Vol. 2, (Aberdeen, 1989)
  • Skene, William Forbes, Celtic Scotland: A History of Ancient Alban, 2nd ed., (Edinburgh, 1887), vol. ii
  • Watson, W.J., The Celtic Place-Names of Scotland, (Edinburgh, 1926) reprinted, with an Introduction, full Watson bibliography and corrigenda by Simon Taylor (Edinburgh, 2004)

Marejeo mengine

[hariri | hariri chanzo]
  • Johnston, Elva (2004), "Beoán (supp. fl. 1012x24)", Oxford Dictionary of National Biography (tol. la Online), Oxford University Press, iliwekwa mnamo 2011-02-16
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.