Bau (mwanamuziki)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Rufino Almeida alizaliwa mnamo mwaka 1962 huko Mindelo, São Vicente, Cape Verde, anayejulikana zaidi kama Bau[1], ni mwanamuziki wa Cape Verde. Baba yake, ni mtengenezaji wa ala alimfundisha jinsi ya kutengeneza na kutumia gitaa, cavaquinho na Fidla. Mwaka 1994, alijiunga na bendi ya watalii ya Cesária Évora na mnamo mwaka 1993 akawa mkurugenzi wake wa muziki. Mnamo Septemba 1999, aliendelea na wimbo wake Raquel ukashirikishwa katika filamu ya Pedro Almodóvar ya mnamo mwaka 2002 Talk to Her.[2] Alizunguka na waimbaji wengine kadhaa akiwemo Hernani Almeida mnamo mwaka wa 1999 na 2001. Baadhi ya nyimbo zake ziliandikwa na Teófilo Chantre.

Pia ana binamu yake ambaye pia ni mwimbaji maarufu Tito Paris.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bau (mwanamuziki) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.