Basilika la Mt. Fransisko

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Basilika la Mt. Fransisko huko Assisi, (mkoa wa Umbria, (Italia) ni kanisa kubwa lililojengwa kwa kutunza masalia ya Fransisko wa Asizi (1182-1226). Limetangazwa kuwa urithi wa dunia.

Mandhari ya kilima ikiwa ni pamoja na konventi na basilika.
Basilika upande wa juu.
Ukumbi wa juu kwa ndani.