Barabara ya B8, Kenya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Barabara ya B8
Route information
Length: 275 mi (443 km)
Major junctions
Kusini-Magharibi end: Mombasa
Kaskazini-Mashariki end: Malindi
Location
Counties: Mkoa wa Pwani
Major cities: Mombasa

Barabara ya B8 ni barabara kuu nchini Kenya katika Mkoa wa Pwani iunganishayo miji ya Mombasa na Garissa. Sehemu kati ya Mombasa na Malindi inajulikana kama Barabara ya Mombasa-Malindi huku ile kati ya Malindi na Garissa ikiitwa Barabara ya Malindi-Garissa. Barabara hii inatumia leni moja ya ubebaji kulingana na kipimo cha juu zaidi cha kasi cha kitaifa ambacho ni kilomita 80 kwa saa.[1].

Mnamo 2006, Serikali ya Kenya ilikadiria Shilingi biliono 2[2]) ili kurekebisha sehemu kati ya Mombasa na Malindi ya Kilomita 113 huku mashirika mawili yakipewa kandarasi hiyo.[3]. Mjini Mombasa, barabara hii huungana na mbili zingine, A109 (Kuelekea Nairobi) na A14 (kuelekea mpaka wa Tanzania). Mjini Garissa, barabara hii inaungana na ya B3 ielekeayo Nairobi na mpaka wa somalia.[4]

Miji[hariri | hariri chanzo]

Miji ifuatayo, kwa mpangilio kutoka Kusini kuelekea Kaskazini, inapatikana katika barabara ya B8:

Tazama Pia[hariri | hariri chanzo]

Barabara ya A109 (Kenya) Barabara ya A14 (Kenya)

Virejeleo[hariri | hariri chanzo]