Bah Ndaw

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Bah Ndaw (pia imeandikwa N'Daw, N'Dah, na N'Daou; alizaliwa 23 Agosti 1950) ni afisa wa jeshi na mwanasiasa wa Mali.

Ametumikia kama Rais wa Mali tangu tarehe 25 Septemba 2020 hadi alipopinduliwa tarehe 24 Mei 2021. Kati ya Mei 2014 na Januari 2015, alikuwa Waziri wa Ulinzi.

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bah Ndaw kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.