Nenda kwa yaliyomo

Avengers: Infinity War

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Avengers: infinity war ni filamu iliyoachiwa mwaka 2018 kama mwendelezo wa filamu za Marvel Studios iliyosambazwa na Walt Disney Studios Motion Pictures.

Filamu hii ilisimamiwa na Anthony na Joe Russo, na kuandikwa na Christopher Markus na Stephen McFeely. Waigizaji katika filamu hiyo ni pamoja na Robert Downey Jr, Chris Hemsworth, Mark Ruffalo, Chris Evans, Scarlett Johansson, Benedict Cumberbatch, Don Cheadle, Tom Holland, Chadwick Boseman, Paul Bettany, Elizabeth Olsen, Anthony Mackie, Sebastian Stan, Danai Gurira, Letitia Wright, Dave Bautista, Zoe Saldana, Josh Brolin, na Chris Pratt. Katika filamu hii kikundi cha Guardians of the galaxy pamoja na Avengers wanashirikiana ili kumzuia Thanos asiweze kupata mawe matano ya kuendesha maisha katika ulimwengu.

Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Avengers: Infinity War kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.